wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mkuu wa Taasisi ya
Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimtunuku shahada ya heshima ya Uzamivu PhD Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Mrisho Kikwete kwa kutambua
mchango wake katika Jamii, kitaifa na kimataifa pamoja na kufanikisha
kuanzishwa kwa Taasisi hiyo kwenye Mahafali ya pili iliyofanyika leo
jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtunuku shahada ya PhD ya Sayansi Uhandisi na Hesabu Bw. James Philip kwenye Mahafali ya pili ya Taasisi hiyo iliyofanyika leo jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Mahafali ya 2 ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela iliyofanyika leo jijini Arusha.
Sehemu ya wahitimu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela.
Wahadhiri katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanmzania ambae pia ni Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika maandamano na viongozi wa Taasisi hiyo pamoja na wahitimu, wakati wa Mahafali ya 2 ya Taasisi hiyo yaliyofanyika leo jijini Arusha.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mkuu wa Taasisi
ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal na wakiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa Shahada ya Uzamili
na Uzamifu kwenye Mahafali ya 2 ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya
Nelson Mandela iliyofanyika leo jijini Arusha.
ConversionConversion EmoticonEmoticon