Escrow Taarifa za Waziri Muhongo kujiuzulu.

DSCF1880
Baada ya Rais Kikwete kutangaza kumsimamisha kazi waziri Anna Tibaijuka sababu ikiwa ni pesa za Escrow, sakata hili linaendelea baada ya waziri wa pili kutangaza kujiuzulu leo mchana.
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Mohingo amejiuzulu nafasi yake kutokana na kuhusushwa na kashfa ya pesa za Escrow. Profesa Muhongo ameitisha mkutano na vyombo vya habari ofisini kwake na kutangaza kujiuzulu.
Waziri Muhongo akizungumzia kujiuzulu kwake nakesema sakata hilo limetawaliwa na mambo manne makuu ambayo ni Mvutano wa kibiashara, mvutano wa kisiasa, mvutano wa uongozi, Madaraka na ubinafsi.

Previous
Next Post »