Mchumba wa rapa J Cole ‘Melissa Heholt’ ameweka wazi kuwa wapenzi hao
wanampango wa kufunga ndoa hivi karibuni. J Cole na Melissa wamekuwa
pamoja kwa muda wa miaka tisa sasa. Melissa ameshaanza kutafuta gauni la
harusi.J Cole amekuwa miongoni mwa wasini wasiri sana kuhusu mahusiano
yake.
This is dummy text. It is not meant to be read. Accordingly, it is difficult to figure out when to end it. But then, this is dummy text. It is not meant to be read. Period.
ConversionConversion EmoticonEmoticon