Kipaji kipya kilichopewa mkataba Young Money mwaka huu.



st 0
Atakama hana maelewano mazuri na boss wa Cash Money,rapa Lil Wayne anaendelea kuboresha lebel yake ya Young Money na sasa amempa dili msanii mpya.
Mwana dada Stephanie Acevedo ambaye kwenye video hii anasikika akiimba wimbo wa Leona Lewis “Bleeding Love” amepewa nafasi ya kujiunga na lebel kubwa duniani ya Young Money mwaka 2015. Stephanie alikutana na Wezzy October mwaka jana ila taarifa rasmi zimetoka wiki hii.
st 1 st 2
Previous
Next Post »