Kuendelea kuwa juu kwenye muziki ni ngumu,Justin Bieber abadilisha producer

http://i0.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2015/01/bieb-rick.jpg
Baada ya kufanya kazi na wasanii wakubwa kama Beastie Boys, LL Cool J, Run-DMC, Eminem na Kanye West, mtayarishaji wa muziki mkongwe Rick Rubin sasa ata tayarisha album mpya ya Justin Bieber.
Bieber alikuwa studio na Rubin Jan 13 na ndio wameanza kazi, Bieber aliweka picha mtandaoni ikiwa na ujumbe “With the man Rick.”
Previous
Next Post »