Rapa Big Sean amewatumia watu maarufu ambao wako
kwenye album yake kama Drake, Jhene Aiko,Travi$ Scott, na Party Next
Door kutangaza jina la album yake mpya.
Wasanii walioshirikishwa ni pamoja na Kanye West, Ty
Dolla Sign, DJ Mustard, Drake na Ariana Grande ambao wote wameweka cover
la album hii kwenye kurasa zao za Twitter na Instagram. Album ya “Dark Sky Paradise” imeripotiwa kutoka February 24, 2015.
ConversionConversion EmoticonEmoticon