Kupitia kurasa yake ya Instagram Diamond Platnmz ameweka wazi kuwa anategemea mtoto wake wa kwanza na Zari The Boss Lady.
amesema “i can not wait to have you on my hand “. Hii post imeambatana na picha ya UtraSound ya mtoto kwenye tumbo la mama. Kama kweli Zari anategemea kupata mtoto wa Diamond basi atakuwa ni mtoto wa nne kwani Zari ana watoto watato wa alivyokuwa kwenye ndoa.
ConversionConversion EmoticonEmoticon