
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema majina 27 mapya yameteuliwa huku wengine 11 wakitupwa nje ya uongozi huo.
Walio teuliwa ni pamoja na Katibu Mkuu wa Zamani wa TFF, Freddrick Mwakalebela, Mtangazaji wa TBC, Shaban Kisu, Katibu wa Hamasa wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Paul Makonda, Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mboni Mhita na aliyewahi kuwa RPC, Zolothe Steven.
Majina hayo yametangazwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda mjini Dodoma mchana.
ConversionConversion EmoticonEmoticon