DAVIDO AMSHUTUMU MWALIMU WAKE

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta FacebookMsanii Davido akiwa mbele ya gari zake
Mwimbaji nyota wa Nigeria Davido amemshutumu mwalimu wake wa sekondari kuwa alimwambia yeye hawezi kufanikiwa maana ni dhaifu sana. Mwanamuziki huyo aliandika kwenye ukurasa wake wa instagram kuwa utabiri wa mwalimu wake wa lugha ya kifaransa haujafanikiwa maana sehemu sahihi kwake ulikuwa ni muziki. Davido aliweka ujumbe huo akiwa mbele ya gari zake mbili nyeusi, range rovers pamoja na Mercedes-Benz G55 AMG Msanii huyo alifanya hivyo ili kuonesha mafanikio yake aliyoyapata kupitia muziki
Previous
Next Post »