Penzi la Aunty Ezekiel na Mcheza Dansi Moses Iyobo Lazidi Kuchanua Wakati huu wa Valentine..Soma Messeji zao

Wawili hawa Aunty Ezekiel na Moses Iyobo Mapenzi yao si ya kuficha Tena Baada ya kufanya siri kwa muda mrefu na hadi kupeana ujauzito licha ya Aunty Ezekiel kuwa bado katika Ndoa ..
Haya hapa ni maneno walioandikiana kwenye page zao za Instagram siku ya Valentine hapo juzi






Aunty Ezekiel
Happy Valentine Moo akee Baby akee boo boo wa mm Baba akee.....Jaden  Baba wa.....Umbea tyuu Nimemaliza waone kwanza @moseiyobo @moseiyobo @moseiyobo Aunty akee lv u
Moses Iyobo
Kabla Siku haijaisha hawa Ndio washkaji zang. ..THEY JUST SAY �� MY DADY IS THE BEST @auntyezekiel @jadenjerry
Previous
Next Post »