Ni mtandao unaogharimu kama dola 25 kwa mwaka kuweka video kwa msanii wa kimataifa, wasanii kama Gosby na V Money tayari wanatumia mtandao huu kuweka kazi zao. Kundi linaloundwa na Aika na Nahreel ‘Navy Kenzo’ nao wameanza kutumia VEVO kuweka video zao ikiwa #Moyoni ndio video ya kwanza kuwekwa humo.
Bonyeza play kuitazama video
ConversionConversion EmoticonEmoticon