Kweli
mfadhii mbuzi binaadam atakuuzi wewe ommy D leo ndo wa kumsupport dully
na kumuacha Alikiba aliekutoa na Nai Nai??Ulipokuwa unataka utoke vipi
ulitafuta mtu wa kukutoacna ukajua ni Ally Kiba sasa hivi unamuona mavii
khaaa binaadam hapana hata kama ume base upande mmoja but usische
mbachao kwa msala upitao ndo maana watu wengine maendeleo cyenu
yanaishia chalinze kwa roho mbaya
Aliesema hapo juu huyo team sijui nini ni ukweli mtupu
dunia tunajifunza kutokana nacexperience saidia ndugu zako bora Ally K ulijionea ukamtoa mdogo wako maana wengine shukran kushnehi my momma told me they will be things like this...
[Ushauri wa bure! Saidia ndugu zako kuliko marafiki wa siku hizi waliojaa unafik
ConversionConversion EmoticonEmoticon