Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Jacqueline Wolper ametupia picha hizi
kwenye ukurasa wake mtandaoni na kuziandikia maneno kwa lugha ya
“Malkia” ..
“Being with someone who won't give up on you”. Akaandika tena “Be with someone who is proud to have you. Thug life mentality”.
Kauli hizi zinaonyesha mrembo huyu kwasasa yupo kwenye mahusiano na mtu ambaye anampenda na anaonyesha kumajali sana mrembo huyu na pengine kwa swaga za mitandaoni , naungana na wengi waliompongeza kwa kupewa ndinga hilo na huyo anaesifa hapo.
Mzee wa Ubuyu.

ConversionConversion EmoticonEmoticon