
Mpya ya leo ni kumhusu mtoto wake wa kiume, na gari anayomiliki. Mtoto huyo anamiliki gari aina ya BraBus ambayo thamani yake ni zaidi ya $500,000 za kimarekani. Ukiibadilisha fedha hiyo kuja katika pesa ya kibongo ni zaidi ya Tsh 917,050,000.
Kwa mujibu wa blog ya Bin Zuberi ambako nmetoa picha za gari hiyo ni kua gari hiyo imetengenezwa maalum kwa mtoto huyo na hata imeandikwa jina lake Yusuph Bakhresa. Na gari hiyo imesajiliwa kwa jina la BRABUS ambalo ndio model ya gari hilo.
Unaweza tazama picha zaid za gari hilo hapa chini.
ConversionConversion EmoticonEmoticon