
Msanii mgalilaya akiwa amepoz na marafiki zake akiwa upande wa kulia
Mgaliya ni bonge la star wa hip hop anayekujaa juu aisee mshikaji anajua plz kama shabiki wa hip hop tunaitaji support yako Siku ya leo nakusikiliza jimbo zake tatu (3) na pia tunaitaji maoni yako unasemaje yupo vizur???? plz Toa maoni yako pia tunaitaji support yako .
sikiliza hapaaa...!
ConversionConversion EmoticonEmoticon