Kwa
mara ya Kwanza Udaku TV imemtafuta Nuhu Mziwanda na Kufanikiwa kupata
Mahojiano kuhusu Mambo kadhaa ambayo yame andikwa sana na Magazeti na
pia Mitandaoni .
Nuhu Mziwanda Ameongea Makubwa Kuhusu Shilole anavyompiga magumi kila mara , Pia ameongea kuhusu Michapio ya Kingereza anayoandikaga kwenye Page yake ya Instagram
ConversionConversion EmoticonEmoticon