
Watu hao wanaonekana kuuawa siku kadha zilizopita ambapo baadhi ya maiti zilikuwa zimekatwa shingo.
Mji
wa Damasak ulio karibu na mpaka na Niger ulidhibitiwa na wanamgambo wa
Boko Haram mwezi Novemba mwaka uliopita lakini ukatwaliwa na wanajeshi
kutoka nchini Niger na Chad siku ya Jumamosi.
Boko Haram wamewaua maelfu ya watu kwenye kampeni yake ya kutaka kubuni taifa la kiislamu kaskazini mwa Nigeria.
ConversionConversion EmoticonEmoticon