Picha: HAMISA Mobeto Ajifungua Mtoto wa Kike, MIMBA yake ilikuwa SIRI Kubwa, Azaa na Mtangazaji Maarufu

Modo maarufu na muigizaji chipukizi nchini, hamisa mobeto amejifungua mtoto wa kike. Staa huyo anayechipukia amejifungua ivi karibuni na kuwashangaza wengi kwani mimba hiyo ilikuwa na usiri mkubwa tofauti wafanyavyo mastaa wengine (zari ), Mobeto Amezaa mtangazaji maarufu Majizo ambae ni mkurugenzi wa EFM

Hongera sana, duuh!! Ila hii mimba wambea wengi walikuwa hawajaipata, khaa!! Utatuua kwa presha aisehh loh, haya sasa nawapa assignment wambea wenzangu kumtambua au kumtaja baba mtoto wa hamisa

Previous
Next Post »