Picha:Siku ya Leo Hizi za Kidoti Zimependwa na Wengi

Picha:Siku ya Leo Hizi za Kidoti Zimependwa na WengiPicha:Siku ya Leo Hizi za Kidoti Zimependwa na Wengi 1Picha za mrembo anaefanya vitu vingi hapa mjini kuanzia mitindo, utangazaji,ujasiliamali  hadi uimbaji wa muziki,  Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ alizozitupia leo kwenye ukurasa wake wa mtandaoni zimepokea’ LIKES’ na COMMENTS kutoka kwa wadau na mashabiki wa kike na wakiume huu kila mmoja akisema lake juu ya picha hizo.
Yote kwa yote Kidoti hapo ametokelezea ile sana, kwa upande wetu hizi za Kidoti ndio picha bomba  zaidi kwa siku ya leo kati ya za mastaa wote wa  Bongo Movies.
Tupia mtazamo wako juu ya hizi hapo chini
Mzee wa Ubuyu
Previous
Next Post »