Dada yangu Wema,
Salamu
sana, nyingi na za upendo mkubwa zikufikie. Pole nyingi sana, it is sad
to listen to what your heart is speaking about the reality of your
life. Kwanza, that is relieving kwako kwa kuusemea moyo wako na hali
yako. Inakupa moyo huru na uliopumua pumzi kubwa, ni ujasiri wa pekee na
kwa hilo nakupongeza. Nakupongeza pia kwa kuonyesha moyo wako, licha ya
kwamba unaumia kwa mengi, moyo wako si uliovunjika na kupondeka, sio
uliopoteza matumaini na mapendo ndani mwako. Hilo ni paji la Kimungu
ndani mwako na umeonyesha hilo kwa kutomlaumu Mungu bali kwa
kumtumainia.
Personally
I was touched, and my prayers are with you. Don't give up hope and
trust which are in you. Maisha na hali za ubinadamu vina mipaka yake.
Tumeumbwa na tupo jinsi tulivyo, na kwa njia ya hali zetu makusudio ya
Mungu ni ya kipekee kwa kila mtu, malengo yake Mungu tunaendelea
kuyang'amua siku hadi siku na kwa nguvu ya ajabu.
Mungu
azidi kukutia nguvu katika yote, harakati za maisha ya kila siku zipate
Baraka zake, na kwa njia hiyo ukitambua what He calls you to do. For
surely you will be our dada and mama to many other children who need
your love and care as of what God has given you just for the sake of
them.
Kila jema dada yangu, nakutakia moyo mkuu
By Anonymous
ConversionConversion EmoticonEmoticon