Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mama kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’. .
Stop!
Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemzuia mama
kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwenda kujifungulia
nje ya Bongo pindi mambo yatakapokuwa tayari.
Habari
zilizonyakwa na Ijumaa Wikienda kutoka kwenye chanzo cha ndani ya
familia ya Diamond zilieleza kwamba, tayari jamaa huyo amemuanzishia
Zari kliniki Bongo
ConversionConversion EmoticonEmoticon