Wema Sepetu: Niliwahi Kutoa Mimba Moja tu ya Kanumba Kwa Vile Nilikuwa Mdogo Sana, Wanao Sema Nimetoa Mimba Nyingi ni Waongo

Anazungumzia ishu ya kupata mtoto ndani ya EFM Radio Jana... Anasema watu wanaomsema hapati mimba kwa kuwa ametoa sana mimba, ni uongo kwa kuwa ameshatoa mimba moja tu tena ya Kanumba na kwa kuwa alikuwa mdogo.

Anasema ndoto yake ilikuwa kuzaa na Diamond ila hakuwahi kupata ujauzito ila ameangaika sana kupata na Diamond na wamehustle together kumpata mtoto ila haikuwezekana.

Anasema tangu hapate hiyo mimba ya Kanumba hakuna mwanaume ambaye ameshawai kumpa ujauzito. Anachukia sana watu wanapomkashifu kwa kuwa ata yeye ili swala lina muumiza sana.

Source:EFM
Previous
Next Post »