Tume ya taifa ya uchaguzi imeshatangaza kwamba uchaguzi mkuu utafanyika
October 2015 ambapo sasa ni headlines zake zinachukua nafasi kwa watu
mbalimbali kutangaza nia za kugombea nafasi ya juu ya Urais.
Post hii inamilikiwa na January Makamba ambae ni Mbunge wa Bumbuli Tanga na anautaka Urais pia ambapo May 30 2015 aliandika :
Post hii inamilikiwa na January Makamba ambae ni Mbunge wa Bumbuli Tanga na anautaka Urais pia ambapo May 30 2015 aliandika :
- ‘Wiki ijayo tutataarifu ni lini na kwa namna gani tutazungumza na Watanzania, kuchukua fomu, kuanza safari za mikoani kukutana na Watanzania‘
ConversionConversion EmoticonEmoticon