Diamond ni Star Africa kuliko watanzania tunavyomchukulia wakati Kundi
la Uhuru Kutoka Sauzi Afrika wakiomba kufanya Remix ya Wimbo wake Mpya
wa Nanaa, Usiku wa kuamkia leo nchini Nigeria video ya nana ilikuwa
gumzo kwenye mitandao. Wabongo sijui kwanin hatupendi vya kwetu siku
Diamond Platnumz mungu amemchukua hawa wanao mbeza na kumtukana ndo
wanafiki wa kwanza kujifanya kulia hadi kuzimia huku wakimsifia......
This is dummy text. It is not meant to be read. Accordingly, it is difficult to figure out when to end it. But then, this is dummy text. It is not meant to be read. Period.
ConversionConversion EmoticonEmoticon