Tazama hapa video ya Lady JayDee ‘Give Me Love’ Ft Mazet & DJ Maphorisa.

jide-give-me-loveLady Jaydee ametoa video ya wimbo wake mpya ‘Give Me Love aliofanya na Mazet na Dj Maphorisa. Video imetayarishwa na Nicky Campos na kufanyika Johannesburg South Afrika.
Previous
Next Post »