Lulu amejibu kwanini aliifuta account yake ya Instagram? ni noma je?

Lulu 1Mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ alikua na time ya kukaa mbele ya camera ya AyoTV na kuzungumzia ishu kadhaa ikiwemo movie yake mpya inayokuja lakini pia aliulizwa swali la kwanini aliifuta page yake ya Instagram ambayo ilikua ina followers zaidi ya laki tatu.
Previous
Next Post »