Kulikuwa
na stori ya uzushi mitandaoni na June 24 nikamfata nyumbani kwao Sinza
na kwenye majibu yake kulikuwa na hiki ambacho nilimnukuu pia
>>>> ‘Sio
mara ya kwanza kuzushiwa kifo, nasikia mara watu oooh banza kafa, mara
ooh kila mtu anaongea lake ila mimi niko poa ni mzima… naweza kufanya
kazi ila kwa sasa siko tayari kufanya kazi kwani nitauchosha mwili wangu’
Hiyo haikuwa mara ya kwanza Banza Stone kuzushiwa
kifo.. muda mfupi baadae ikaja taarifa nyingine kwamba mwimbaji huyo
ambaye alikuwa ni legend wa Muziki wa dansi Tanzania amelazwa katika
Hospitali ya Mwananyamala Dar baada ya hali yake kuwa mbaya.
Leo imetufikia nyingine, ni majonzi kwa kila mtu iliyemfikia taarifa hii, Banza Stoneamefariki na hizi ni picha kutoka msibani, nyumbani kwa akina Banza Stone maeneo ya Sinza Kijiweni Dar es Salaam
ConversionConversion EmoticonEmoticon