UNATAKA KUONA JINSI DIAMOND ALIVYOHOJIWA NA WAANDISHI WA HABARI HAPA SOUTH AFRICA?

Diamond 5Mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz amekutana na camera ya AyoTV hapa Durban South Africa wakati tukisubiria tuzo za MTV 2015 kaongelea Beef yake na Davido ilivyokua na mpaka wakakutana, mtoto wake wiki ijayo, tuzo za MTV na mengine
Previous
Next Post »