Taarifa
nilizozipokea kutoka kwa watu wa karibu kabisa na familia ya Dk
Wilbroad Slaa hususani bi. Josephine Mushumbusi ni kwamba kesho saa saba
mchana Dr Slaa atatangaza rasmi kujiuzulu ukatibu mkuu wa chadema taifa
lakini pia kujivua uanchama wa chama hicho na kutangaza kustaafu
siasa.Dr. Slaa atafanya hivyo ikiwa ni hatua yake muhimu ya kusubiri
'muda muafaka'
Next
« Prev Post
« Prev Post
Previous
Next Post »
Next Post »
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ConversionConversion EmoticonEmoticon