Jokate, Ice Price kwenye Video ya ‘LeoLeo’, Collabo ya Jua Cali na Chege yakamilisha albamu..255(Audio)

ce Prince amesema anatamani sana kuja kufanya kazi kwenye majukwaa ya Tanzania ingawa mpaka sasa Jokate analalamika ameshindwa kuja kufanya collabo yake ya ‘LeoLeo’, Jokate amesema amekua akizungumza na uongozi wake.na amekua yupo Busy ingawa kwa sasa mazungumzo yanakwenda vizuri
iceeee
Ice Prince akiwa na Jokate Nairobi
Juacali amesema anatarajia kutoa albamu yake ‘Mali ya Umma’ mwishoni mwa Oktoba baada ya kumaliza kazi na Chege, amesema pia anamtafuta Joh Makini ili aweze kufanya nae kazi.
jua
Jua Cali
Wasikilize hapa…
Previous
Next Post »