Jaguar Kumjia Irene Uwoya Tanzania

jaguarpKwenye Exclusive Inteview na Bongoclassictz , Jaguar anasema anamkubali sana staa wa filamu kutoka Tanzania Irene Uwoya na kwamba toka waonge kwenye simu amekuwa akijipanga ili aje bongo kumuona.

Jaguar pia amesema amealikwa kwenda nyumbani kwa wazazi wa Irene December mwaka huu Ili kuonana na wazazi wake kwa sababu ambayo bado hajaweka wazi.
Previous
Next Post »