Picha, Diamond Ndani Ya Jumba La Big Brother.

diamondkiwa ni sehemu ya kuchangamsha show ya Big Brother, wasanii tofauti huingia ndani ya nyumba na kujichanganya na washindani wa Big Brother.
Hii imekuwa mara ya pili kwa msanii Diamond kutoka Tanzania kualikwa ndani ya jumba hili la Bba na sasa alikuwa na mwanamuziki maarufu kutoka Congo ‘Fally Ipupa’ . Awamu hii wasanii hawa wawili wameingia kwenye jumba la Bba na kuhamasisha kampeni ya  ONE Campaign ya vijana na Kilimo.
Previous
Next Post »