‘Empire’ imeachia hizi mbili zitakazoonekana kwenye msimu wake wa pili… (Audio + Video).


Empire Msimu wa pili uko njiani mtu wangu, tunahesabu siku chache kufikia tarehe 23 September ili tuweze kuenjoy ile series iliyoshika headlines kubwa sana duniani!
Kama wewe ni shabiki mkubwa wa Empire basi hii good news ikufikie, soundtrack 2 mpya za Empire zimetoka, hapa nazungumizia ‘No Doubt About It’ iliyomshirikisha Pitbul na Jussie Smollett anayeigiza kama (Jamal Lyon) wimbo huu umeandikwa na Ne-yo.
empire2
Nyingine ni ‘All About The Money’ ndani anasikika Yazz The Greatest ambae anacheza kama Hakeem Lyon kwenye Series ya Empire.
Previous
Next Post »