Argentina Rahaa baaada ya miaka 36

Timu ya Taifa Argentina wametwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia kwa ushindi wa penati 4-2 dhidi ya Ufaransa, ET: Argentina 3-3 Ufaransa (Messi 22’P 109’ Di Maria 35’) (Mbappe 79’ 81’ 118’). Leo Lionel Messi amecheza game yake ya 1003 katika maisha yake ya soka leo na amefunga magoli 793 na ana Ballon d’or 7.
Argentina linakuwa taifa la kwanza kutokea bara la Amerika Kusini kutwaa Kombe la Dunia baada ya miaka 20 kupita, mara ya mwisho Argentina kutwaa Kombe la Dunia ilikuwa 1986 ambapo lilifanyika Mexico na hii ikiwa mara yao ya tatu kutwaa Kombe hilo.
Previous
Next Post »