DIAMOND APOKELEWA KAMA RAIS AKITOKEA ‘AFRIMMA’ MAREKANI...Hongera Diamond..!!!

Waendesha bodaboda wakiongoza msafara huo.

Diamond akiwa juu ya gari akiwa ameshikilia tuzo aliyopata.

Watu mbalimbali wakitembea kwa miguu katika msafara huo kumpokea shujaa…


Watu mbalimbali wakiwa wamelizingira gari la Wema wakimtaka atoke nje,  lakini hakutoka.
Previous
Next Post »