TRAFIKI MWINGINE FEKI ANASWA DAR!


KWA mara nyingine tena makachero wa polisi wamefanikiwa kumnasa trafiki feki ambaye anadaiwa kutikisa Jiji la Dar es Salaam kwa ukamataji wa magari na kuwatoa fedha madereva, Uwazi lina mchapo kamili.

Trafiki feki aliyenaswa na Polisi anadaiwa kutikisa Jiji la Dar es Salaam
Chanzo chetu ndani ya jeshi la polisi, kinaeleza kwamba trafiki huyo feki anayejulikana kwa jina la Robinson Seif (30) anayejifanya kuwa na cheo cha staf sajenti alikamatwa juzi Jumamosi akiwa ‘kazini kwake’.
Akipelekwa kituo cha Polisi.
Inadaiwa kuwa, baada ya kuonekana na makosa mbalimbali jeshi la polisi lilimfikisha katika mahakama yao na akapewa adhabu ya kuachishwa kazi.“Madereva wameshangilia sana, ni kama sherehe tu kwao, maana jamaa amewapiga mabao sana akijifanya ni trafiki,” kilipasha chanzo hicho.
...akijitetea.
“Huyu Seif amekuwa akiwadanganya wananchi kuwa yeye ni trafiki na kuwachukulia fedha, sare alizokutwa amevaa ni zetu lakini bado tunachunguza alipozitoa, pia tunafuatilia mambo mengine, nitatoa taarifa kamili b
 Kova akionyesha baadhi ya sare za jeshi la polisi alizokamatwa nazo polisi huyo feki.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, ACP Ulrich  Matei, alipoulizwa kwa njia ya simu alikiri Seif kuwahi kufanya kazi mkoani Pwani huku akifafanua kuwa ni kati ya askari nane waliofukuzwa kazi Januari mwaka huu kwa makosa mbalimbali.
Previous
Next Post »