Rappa Jay Wayne Jenkins 'Young Jeezy'.
MWANAMUZIKI wa Hip hop nchini Marekani, Jay Wayne Jenkins 'Young
Jeezy' anashitakiwa kwa kukutwa na silaha ya kivita aina ya AK-47
Silaha ya kivita aina ya AK-47 kama aliyokutwa nayo Jeezy.
Staa huyo akiwa na wenzake watano walikutwa na silaha hiyo kwenye
basi walilokuwa wanasafiria katika ziara ya msanii huyo majuzi nchini
Marekani. Baada ya kunaswa na silaha hiyo, hakuna mtu yeyote aliyekiri
kuimiliki hivyo wote sita wanashitakiwa kwa kosa hilo.
ConversionConversion EmoticonEmoticon