AUGUST ALSINA AENDELEA NA MATIBABU BAADA YA KUANGUKA JUKWAANI NA KUZIMIA


MWANAMUZIKI wa R&B wa nchini Marekani, August Alsina anaendelea na matibabu hospitali baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo na kuanguka jukwaani usiku wa kuamkia jana wakati akitumbuiza katika ukumbi wa Irving Plaza jijini New York.

Mwakilishi wa mwanamuziki huyo amesema August yupo ICU katika hospitali moja jijini New York City anapoendelea kupata matibabu.

Taarifa zinaeleza kuwa madaktari hawakukuta dawa zaidi ya bangi mwilini mwake hivyo wanaamini kuanguka kwake stejini kulitokana na uchovu na kukosa maji.

ConversionConversion EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng