Aliyekuwa miss Kigamboni mwaka 2013, Miss Magdalena Olotu amepata nafasi
ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya
kuchaguliwa kwenye shindano la umtafuta Super modal wa Afrika shindano
hilo linaitwa "Next Africa Supermodel Ultimate Search 2014"
litakalofanyika Afrika ya Kusini. Shindano hili linawashilikisha
wanamitindo mbalimbali kutoka nchi nne za Afrika.Sasa unaweza kumpigia kura yako kwa Kulike na Kucomment kwenye picha yake iliyoko kwenye ukurasa wa facebook uitwao "Supermodel Search Africa" au bofya ili jina lake MAGDALENA OLOTU ili kumpigia kura.
WATANZANIA TUONYESHE UZALENDO KWA KUMPIGIA KURA SASA.
ConversionConversion EmoticonEmoticon