Chris Brown Alivyomsifia Kendrick Lamar.

chris-brown-kendrick-lamar-Chris Brown amefunguka kuhusu kufanya kazi na rapper Kendrick Lamar na kusema kuwa mistari aliyoandika kwenye wimbo wake ni mistari ambayo hajawahi kuisikia kutoka kwa msanii yeyote na anakubali sana kipaji cha Kendrick. Kendrick amefanya kazi na Chris Brown kwenye wimbo wake wa Autumn Leaves ambao upo kwenye album ya X.Chris anasema Kendrick ni msanii mpole mwenye nidhamu sana na ameone kitu tofauti kutoka kwake muda wote waliokuwa wakifanya kazi.
Previous
Next Post »