Msanii/mtangazaji/Mwigizaji Bow Wow
amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Erica Mena.Bow wow na Eriza
wameanza kuwa pamoja mwanzo wa mwaka huu baada ya Erica kufanya naye
interview kwenye kipindi cha BET’s 106 & Park.
Habari nyingine ni kuwa Erica Mena atachukua nafasi ya Keisha Chante kwenye kipindi cha 106 and Park.
ConversionConversion EmoticonEmoticon