Picha, Ciara Alivyosheherekea Siku Yake Ya Kuzaliwa,Future Hajaonekana.

Weekend hii Ciara amefikisha miaka 29 na amesheherekea siku yake ya kuzaliwa na rafiki yake kipenzi La La huko mjini New York. Ciara na Lala walitoka na watoto wao, rapper Futura hakuwepo. 

Previous
Next Post »