Picha Za Birthday Party Ya Drake,Atimiza Miaka 28.

Drake amekimbia drama za Tyga na kwenda kwao Toronto huko Canada kusheherekea siku yake ya kuzaliwa na familia yake, washkaji zake kama Noah “40″ Shebib, OB OBrien na meneja wake Oliver El-Khatib walihudhuria. Keki ya OVO ilikatwa na Drake alipewa tuzi aliyoanzisha ya Hood Grammy, kama “Best Basketball Player of the Year”.

Previous
Next Post »