Picha zilizopo kwenye ukurasa wa Instagram wa Iyanya (@iyanya) zimewaonyesha wawili hao wakiwa uwanja wa ndege, D’Banj akampatia zawadi ya headphone za Beats By Dre ambazo ni Limited Gold Edition kama zawadi ya Christmas.
Hapa kuna picha na video ya tukio.
ConversionConversion EmoticonEmoticon