Rapper T.I. aliyeweka historia kwenye
muziki kupitia nyimbo zake kali na zenye misingi halisi ya hiphop
amesema ilikuwa ngumu kutaja nyimbo zake tano kubwa zaidi kwenye maisha
yake ya muziki, Hizi ndio nyimbo tano kubwa zaidi kwa T.I .
1] Rubberband Man kutoka kwenye album ya Trap Muzik ya mwaka 2003
2] Whatever You Like kutoka kwenye album ya Paper Trail ya mwaka 2008
3] Swagga Like Us Ft Jay Z, Lil Wayne na Kanye West kutoka kwenye album ya Paper Trail ya mwaka 2008
4] Live Your Life Ft Rihanna kutoka kwenye album ya Paper Trail ya mwaka 2008
5] No Mediocre Ft Iggy Azalea kutoka kwenye album ya Paperwork: The Motion Picture 2014 ya mwaka 2014.
ConversionConversion EmoticonEmoticon