Kwenye Exclusive Inteview na Bongoclassictz , Jaguar anasema anamkubali
sana staa wa filamu kutoka Tanzania Irene Uwoya na kwamba toka waonge
kwenye simu amekuwa akijipanga ili aje bongo kumuona.
Jaguar pia amesema amealikwa kwenda nyumbani kwa wazazi wa Irene December mwaka huu Ili kuonana na wazazi wake kwa sababu ambayo bado hajaweka wazi.
Jaguar pia amesema amealikwa kwenda nyumbani kwa wazazi wa Irene December mwaka huu Ili kuonana na wazazi wake kwa sababu ambayo bado hajaweka wazi.
ConversionConversion EmoticonEmoticon