Hii imekuwa mara ya pili kwa msanii Diamond kutoka Tanzania kualikwa ndani ya jumba hili la Bba na sasa alikuwa na mwanamuziki maarufu kutoka Congo ‘Fally Ipupa’ . Awamu hii wasanii hawa wawili wameingia kwenye jumba la Bba na kuhamasisha kampeni ya ONE Campaign ya vijana na Kilimo.
Picha, Diamond Ndani Ya Jumba La Big Brother.
Hii imekuwa mara ya pili kwa msanii Diamond kutoka Tanzania kualikwa ndani ya jumba hili la Bba na sasa alikuwa na mwanamuziki maarufu kutoka Congo ‘Fally Ipupa’ . Awamu hii wasanii hawa wawili wameingia kwenye jumba la Bba na kuhamasisha kampeni ya ONE Campaign ya vijana na Kilimo.
ConversionConversion EmoticonEmoticon