Kuhusu Rick Ross Kutofautiana Na Timbaland, Video Yake Mpya Viko Hapa.

ross-timbaland
Rapper Rick Ross yuko mbioni kutoa album yake mpya ya Hood Billionaire na hivi karibuni amekuwa akifanya Interview nyingi kuhusu album hio.
Kwenye interview na Mtv Rick Ross amesema , “Producer Timbaland amemwangusha sana kwa kutoa wimbo wa Movin Base ambao alimweka msanii wake Tink, Rick amesema wimbo halisi wa Moving Base yupo yeye na Jay Z tu na haelewi kwanini Timbaland amevujisha wimbo Huo”
Kitendo hichi kimemfanya Rozay kutoa nyimbo ya Hood Billionaire mapema zaidi.
Hizi video zake mbili, If They Knew  ft. K. Michelle na Hood Billionaire.
Previous
Next Post »