Mariah Na Nick Cannon Kuweka Tofauti Zao Pembeni Sababu Ya Familia.

mariah
Ata baada ya kutengana kwa muda mfupi na kuwa na uvumi kuwa Nick ameanzisha mahusiano na Amber Rose, imeripotiwa kuwa Mariah Carey na Nick watakuwa pamoja wakati wa sikuku za Christmas
Nick na Mariah waliofunga ndoa mwaka 2008 wataletwa pamoja ili kuwa na watoto wao mapacha Monroe na Moroccan.
Previous
Next Post »