Baada ya kupatanishwa jumamosi ya
November 8 2014, Wema na Penny sasa wameamua kuonyesha wazi kuwa hakuna
beef kati yao na mambo yote yako wazi. Penny ameonekana akiwa karibu na
Wema nyumbani kwake hivi karibuni.
Wanasema ni ngumu kuwa mabinti wawili waliowahi kuwa na mahusiano na mwanaume moja kubaki marafiki, Ni kweli Hii ?
ConversionConversion EmoticonEmoticon